Friday, 15 January 2016

HAYA HAPA MAJINA YA UHAMISHO WA WATUMISHI MSM DESEMBA 2015

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inatangaza orodha ya watumishi 5536 wa Mamlaka za Serikali za Mitaa waliokidhi vigenzo na kupata kibali cha uhamisho katika kwa kipindi cha Desemba 2015 na orodha ya watumishi 91 wa Mamlaka za Serikali za Mitaa ambao hawajakidhi vigezo vya kuweza kuhamishwa.
Vile vile, OR-TAMISEMI inatangaza orodha ya watumishi 23 ambao walikwishapata uhamisho awali na orodha ya majina yao hayakuonekana kwenye mtandao na kupelekea kutokukamilika kwa uhamisho wao.
Barua za uhamisho wa watumishi hawa zinapatikana kupitia Ofisi za Wakurugenzi wanakotoka kuanzia tarehe 22/01/2015 na sio OR-TAMISEMI, Ofisi za Wakuu wa Mikoa au Ofisi za Wakurugenzi wanakohamia.
Imetolewa na: -
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

No comments:

Post a Comment