Wednesday, 20 January 2016

Waziri wa elimu Dr Joyce Ndalichako afuta rasmi mfumo wa kukokotoa matokeo kwa mtindo wa GPA

Breaking News!!Waziri wa elimu Dr Joyce Ndalichako afuta rasmi mfumo wa kukokotoa matokeo kwa mtindo wa GPA. Aagiza matokeo ya kidato cha 4 na 6 yatolewe kwa mfumo wamadaraja (divisions) kama
ilivyokuwa hapo zamani. Adai kuwa amefikia uamuzi huo baada ya Baraza la Mitihani(NECTA) kushindwa kutoa utetezi wa kisayansi juu ya sababu zilizopelekea wao kubadili mfumo wa upangaji madaraja ya ufaulu kwa wanafunzi...

No comments:

Post a Comment